Sei sulla pagina 1di 2

AE !

ISRAELI KATOKA
(Zaburi 113 A) Harm:Floribert KAHYA

Sop.
Alto  4              
K/ A e! I sra
 e li ka to ka , ku le Mi si ri

Tenor 4               


Bass 
S.
A.                        1.

mba li ja maa Ya co bo wa pa ga ni ka a cha .

T.        
               

B. 
S.
A.
2.

    
                
ka a cha
1. Ndi po
 Yu da 'ka ji pa ti sha pa ke pa ta ka

T.             
 
               
    
B.
S.
A.

                    
ti fu , Na I sra e li wa ke ya u

fa lme.

T.
 
       
          
     
B.

2. Nayo bahari 'kaona ajabu kubwa sana ,
Yordani pia 'kasogea mbali.

3. Pia milima 'karuka na vilima vikogo,


'karukaruka kama waana kondoo.

4. Nawe bahari, twambie: Mbona ukakimbia?


Ni Mungu wako, Mungu wa Yakobo.
5. Nawe inchi mbali ya Bwana, tetemeka, ogopa,
Ni Mungu wako, Mungu wa Yakobo.

6. Ndiye aliyegeuza kuwa ziwa la maji ,


Mwamba na mawe , chemchem kubwa.

Mise sur porté: Serge NYEMBO


0812415392 / 0997744683

Potrebbero piacerti anche